Wananchi wa Kata ya Mkako Wilayani Mbinga wakicheza ngoma inayoitwa
Lizombe wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofika kuchukua maoni yao
hivi karibuni. Ngoma hii inachezwa na Wangoni. The indigenous of Mkako ward in Mbinga district play their Ngoni traditional dance called Lizombe when the Commission of the Constitutional Review went to take their opinions. |
No comments:
Post a Comment