Taka taka zimekuwa kero kwa wakazi wa Tandale kwa Alimaua Jijini Dar es Salaam, zinamwagwa kwenye makazi ya watu na zinaweza kuchukua hata wiki nzima bila kuondolewa na kuzagaa hovyo barabarani. Filth is dumped in residential areas at Tandale Alimaua in Dar es Salaam and it spreads near to the road with bad smell. The Local government does not bother removing it immediately. |
No comments:
Post a Comment