Saturday, November 3, 2012

Maji Maji Heroes

Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita vya MajiMaji uliopo katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. Wananchi na wageni kutoka nje ya nchi hufika hapa kwa ajili ya kujifunza historia ya vita hivyo. The Memorial of Maji Maji War Heroes in Songea Municipal. Maji Maji war against German colonialism in Southern Tanzania happened in 1905-1907.


No comments:

Post a Comment