Wakazi wa Mabibo Farasi Jijini Dar es Salaam wakiangalia kwa hudhuni maiti ya mtoto mchanga aliyetupwa pembeni ya mfereji wa maji unaopita eneo hilo siku ya Jumamosi. Kifo cha mtoto huyu anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 5 kinadhaniwa kusababishwa na utoaji mimba. Polisi walifika na kuuchukua huku muhusika akiendelea kusakwa. The residents of Mabibo Farasi in Dar es Salaam are looking at the body of a child of about 5 months old. Her death is associated with abortion. The police officers collected the body. |
No comments:
Post a Comment