Sunday, November 11, 2012

Mkutano wa GNLD/ GNLD Meeting at Ubungo Plaza

Andrew Bugembe kutoka Uganda akiwaeleza wageni waalikwa namna bidhaa za GNLD zinavyoweza kumkinga mtu asipate maradhi mbali mbali kama vile saratani. Andrew Bugembe 1 Diamond Director of GNLD was lecturing the invited guests on how bad eating habits can lead to cancerous disease at Ubungo Plaza in Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment