MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA/TANZANIA NEW CONSTITUTIONAL REVIEW
Friday, November 16, 2012
Msiba wa Mzee Venant Hinju
Watoto na wajukuu wa Marehemu Mzee Venant Urban Hinju wakitoa sala yao za mwisho baada ya mazishi. The children and grandchildren of the late Venant Urban Hinju are giving their last prayer after burial ceremony.
Wajukuu wa marehemu wakiongozwa na Daniel Mwingira na Baby Hinju wakiweka maua kwenye kaburi la babu yao. The grandchildren of the late Venant Hinju are putting flowers on the tomb of their grandfather (Posted by Daniel Mwingira)
No comments:
Post a Comment