Saturday, November 3, 2012

Ngoni People dance Lizombe

Wananchi wa Kata ya Mkako Wilayani Mbinga wakicheza ngoma inayoitwa Lizombe wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofika kuchukua maoni yao hivi karibuni. Ngoma hii inachezwa na Wangoni. The indigenous of Mkako ward in Mbinga district play their Ngoni traditional dance called Lizombe when the Commission of the Constitutional Review went to take their opinions.



No comments:

Post a Comment