MAJAMBAZI WATEKA MABASI BIHARAMULO
Majambazi wapatao 10 wameyateka mabasi mawili ya kampuni za RS na NBS
leo alfajiri na kuwapora abiria mali na fedha, pia askari aliyekuwa
akiyasindikiza mabasi hayo naye ameporwa bunduki aliyokuwa nayo SMG
namba 14302551; Kamanda Philip Kalangi (RPC) amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo.
No comments:
Post a Comment