Wakuu wa Mikoa wakibadilishana mawazo mara baada ya kutoka kutoa maoni yao ya Katiba Mpya kwenye Makao Makuu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akiwaeleza Waandishi wa Habari kuwa wamependekeza Tume izingatie kuyafanyia kazi maoni yote Watanzania waliyoyatoa ya Katiba Mpya |
No comments:
Post a Comment