Hivi ndivyo haki ya kuishi inavyokiukwa. That is how the right to life is violated. |
Monday, December 17, 2012
MAITI YA MTOTO YAOKOTWA
JOHN MNYIKA/CHADEMA MP FROM UBUNGO
MKUTANO WA CHADEMA/CHADEMA MEETING
Akishika moto kwa mikono kwa staili ya kuunawa. He is touching fire with his hands. |
Mchezo ukiendelea. The show continues. |
Ameuweka moto mfuko wa nyuma wa kaptura yake. He put the burning fire on his back |
Mambo hayo unayaweza? Don't try its risky |
Ameamua kuula kabisa moto wake. At last he decided to eat it. |
Thursday, December 13, 2012
Monday, December 10, 2012
WAKAZI WA MABIBO/MABIBO RESIDENTS
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume akiwapatia katiba na vipeperushi wanafunzi wa Sekondari ya Loyola. |
Kurusumu Peter akitoa maoni yake mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba. |
Twahili Mwinyi Mkuu akishiriki kutoa maoni yake ya Katiba |
Wakazi wa Mabibo wakishiriki kutoa maoni yao ya katiba |
Friday, December 7, 2012
Wakazi wa Kata ya Manzese Jijini Dar es Salaam
Wakazi wa Kata ya Manzese Jijini Dar es Salaam wakishiriki kutoa maoni yao. The residents of Manzese in Dar es Salaam are participating in constitutional review meeting. |
Wakazi wa Manzese wakifuatilia kwa karibu utoaji wa maoni ya katiba mpya. Manzese residents are closely making a follow up to the constitutional review meeting. |
Wakazi wa Manzese wakishiriki kutoa maoni ya katiba kwa njia ya maandishi. Some residents of Manzese are offering their opinion in writing |
Wakazi wa Manzese wakifuatilia utoaji maoni. Manzese residents |
Wakazi wa Kata ya Makongo-Dar es Salaam
Ritha Mboto: Katiba ipige marufuku neno umasikini kwani Tanzania ni nchi tajiri. The New Constitution has to ban the word poverty in this country, Tanzania is not a poor country |
Deus Mtiro: Ajira kwa wageni zipigwe marufuku, wazawa wapewe kipaumbele kwanza. Foreigners should not be given the first priority in employment, let the indigenous be the first. |
Wakazi wa Kata ya Makongo wakisubiri kutoa maoni yao. The residents of Makongo Ward in Dar es Salaam are waiting to offer their opinion |
Wakazi wa Kata ya Makongo wakifuatilia utoaji wa maoni ya Katiba Mpya. The Makongo residents. |
Wednesday, December 5, 2012
Wananchi wa Dar es Salaam wakitoa maoni yao ya katiba
Wakazi wa Sinza wakitoa maoni yao katiba. |
Wakazi wa Sinza wakifuatilia kwa makini utoaji wa maoni |
Wasanii wakitumbuiza kwenye mkutano wa katiba katika kata ya Saranga Jijini Dar es Salaam |
Maji yakipotea hovyo kutokana na kupasuka kwa bomba karibu na ofisi za Kata ya Saranga |
Mwalimu Sophia Mshanga: Kuwe na idadi maalumu ya wizara |
Sunday, December 2, 2012
Redds Miss Tanzania: Brigitte Lymo
Wakazi wa Kawe/Kawe Residents
Abdi Hamisi: Nataka Muungano wa mkataba |
Germinus Nyeho: Kiswahili iwe lugha ya kufundishia kwenye shule na vyuo vyote nchini |
Esther Mkwizu M/kiti Tume: Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 inawataka wananchi kutoa maoni yenu kwa uhuru, msiwe na hofu |
Wakazi wa Kata ya Kawe Jijini Dar es Salaam wakishiriki kutoa maoni yao |
Sharifa Ngogoro: Katiba ilinde haki za wanawake kwenye suala la mirathi, wanaonewa sana |
Vicent Mayunga: Polisi wanafanyakazi za ajabu, wananyanyasa wananchi, Katiba iliangalie suala hilo |
Subscribe to:
Posts (Atom)